WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YA SIKU MBILI KIGOMA ATAJA MKAKATI WA SERIKLAI KUPANUA BANDARI ZIWANI TANGANYIKA
Na.Issack Gerald-KIGOMA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Halimashauri ya Manispa Kigoma Ujiji kwa kubuni miradi mbalimbali ya biashara katika ziwa Tanganyika na tekinolojia mpya ya kukausha dagaa wanaovuliwa katika ziwa hilo. Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua dagaa wanaokaushwa kitalaam kwa kutumia jua wakati alipozindua soko na mwaro wa kisasa wa samaki wa Kibirizi mjini Kigom. Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)