Posts

Showing posts from January 11, 2016

MRAJISI VYAMA VYA MSINGI TANZANIA APEWA SIKU 14 KUUNDA TIMU YA UKAGUZI MALALAMIKO YA WAKULIMA WA TUMBAKU MPANDA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda,Katavi Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh. William Tate Ole Nasha,amemwagiza Mrajishi wa vyama vya ushirika Tanzania,kuhakikisha anaunda timu ya ukaguzi ndani ya Siku 14 ili kuchunguza malalamiko ya wakulima wa zao la tumbaku katika chama cha msingi cha ushirika cha Mpanda Kati kilichopo Wilayani Mpanda.                                                   Wa-tatu kutoka kushoto aliyeshika kifuani mwake ni Naibu waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa Wilaya ya Mpanda Muda mfupi kabla ya kuanza kikao na wakulima Chama cha Msingi Mpanda Katati,aliyevaa kaunda suti ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Pazza Mwamlima na wengine katika picha ni wakuu wa idara Wilayani Mpanda                                     ...

CUBA YAENDELEA KUSAIDIA TANZANIA KUPAMBANA NA MALARIA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini, Bwana Jorge Luis Lopez Tormo ambaye ameahidi kuendelea kusaidia Tanzania katika mapambano dhidi ya malaria.                                                                           Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo,  ofisini kwake jijini Dar es slaam Januari 11, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)