Posts

Showing posts from February 17, 2016

MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO ATAKA WANAFUNZI WASOME MASOMO YA SAYANSI

Na.Agness Mnubi-Nsimbo. WANAFUNZI wa Shule za Sekondari katika Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani katavi wametakiwa kusoma masomo ya sayansi.

MKURUGENZI IDARA YA MAJI KATAVI ATOA MATUMAINI KWA WAKAZI WA MPANDA,MGAO WA MAJI KUWA HISTORIA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Idara ya Maji Mkoani Katavi imesema kuwa mradi wa Orestria unaoshughulikia ukarababti na ujenzi wa mambomba na vyanzo vya maji unaotarajia kuanza mwezi ujao,kutawaondolea wananchi adha ya kukosekana kwa maji na hivyo maji kupatikana kwa saa 24 katika mji wa Mpanda.                                            Mradi wa maji wa Ikorongo wenye lita 1,000,000 moja ya chanzo cha maji kinachosambaza maji Mkoani Katavi (PICHA NA Issack Gerald) Baadhi ya Wananchi wakiwa wametembelea mradi wa maji wa Ikorongo (PICHA NA Issack Gerald)

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA NIDHAMU YA WOGA,MABILIONI YAOMBWA KUIDHINISHWA KUFANIKISHA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI MPANDA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Watumishi wa umma Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wametakiwa kutofanya kazi kwa nidhamu ya woga na badala yake watumie taaaluma waliyoisomea.                                         Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bw.Pazza Mwamlima(PICHA NA.Issack Gerald)

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA KATAVI AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUMTOROSHA ALIYETAKA KUMUUA KWA KUKATA KIGANJA CHA MKONO MLEMAVU WA NGOZI ALBINO,WAMO PIA ASKARI MAGEREZA WAWILI WILAYANI MPANDA NA WALIOKUWA WAKITOROSHWA WADAKWA TENA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Watu watano akiwemo Mwanasheria Mkuu Mkoani Katavi Bw. Falhati Seif   Khatibu (45),wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa   Alex Manyanza Enock (27) Mkazi wa majimoto aliyekuwa anakabiliwa na kesi NA. MTO/IR/76/2015 ya kujaribu kuua mlemavu wa Ngozi Albino Limi Luchoma(30) mkazi wa kijiji cha Mawiti kata ya Majimoto Wilayani Mlele.