BUASARA,HEKIMA,LUGHA ZENYE HESHIMA ZATAKIWA KUTUMIKA MIKUTANO YA KAMPENI ZA KISIASA KATAVI
Na.Issack Gerald-Katavi Busara,hekima na lugha zenye heshima zimetakiwa kutumiwa na wanasiasa na jamii kwa ujumla katika kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi ili kuepuka kuitumbukiza nchi katika machafuko yanayohatarisha usalama wa Watanzania.