KATAVI KUFANYA MKUTANO WA MAZINGIRA WIKI IJAYO
Issack Gerald-MPANDA . MKOA Wa Katavi unatarajia kufanya Mkutano na wadau wa mazingira ili kutafuta suluhisho la kukabiliana na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri Katika maeneo mbalimbali Mkoani hapa.