BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO LAFANYA KIKAO CHA MWISHO KUHITIMISHA MWAKA WA FEDHA 2015/2016,MWENYEKITI WA HALMASHAURI ATOA NENO KWA MADIWANI.
Na.Judica Schone-Nsimbo Madiwani wa baraza la Madiwani Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo na viongozi wa halmsahauri hiyo waliopewa dhamana ya kukusanya mapato katika halmashauri hiyo,wametakiwa kusimamia zoezi la ukuasanyaji wa mapato ili kutumika kwa mujibu wa bajeti.