MTOTO MWENYE MIAKA 4 ACHOMWA MOTO NA BABA YAKE MZAZI KWA TUHUMA YA KULA MBOGA YOTE AINA YA CHAINIZI,POLISI WAMTIA MBARONI KUFIKISHWA MAHAKAMANI MUDA WOWOTE.
Na.Issack Gerald-Mpanda Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Joseph (31) mkazi wa Kata ya Kazima Wilayani Mpanda Mkoani Katavi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Katavi kwa tuhuma za kumchoma kwa moto mtoto wake aitwaye George Emmanuel(04) akituhumiwa kula mboga aina ya Chainizi. Mtoto wa miaka 4 aliyechomwa moto na baba yake baada ya kula mboga aina ya chainizi.(PICHA NA.Issack Gerald)