HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA YATENGA EKARI 2400 KWA AJILI YA UWEKEZAJI,SEKTA YA UFUGAJI,KILIMO,BIASHARA,UTALII,HUDUMA ZA JAMII NA MAKAZI YA WATU KUPEWA KIPAUMBELE-Agosti 21,2017
HALMASHAURI ya wilaya ya Mpanda mkoani katavi imesema imetenga eneo la Luhafwe lenye ukubwa wa ekari 2400 kwa ajili ya uwekezaji.