Posts

Showing posts from March 14, 2016

UTEUZI WAKUU WA MIKOA RUKWA,KATAVI,KIGOMA NA KAGERA WANAJESHI WATUPU(KATIBU TAWALA NA MKUU WA MKOA KATAVI NI MAJENERALI WA JESHI)

Image
Na.Issack Gerald Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli Machi 13 amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 wakiwemo 13 wapya na 13 waliokuwa katika serikali ya awamu ya nne ya serikali iliyokuwa ikiongozwa na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.                                                        Mkuu wa Mkoa wa Mpya wa Mkoa wa Katavi Jeneral Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald)                                             Jeneali Paul Chagonja Katibu Tawala Mpya Mkoa wa Katavi aliyeteuliwa Januari 29,2016 (PICHA NA.Issack Gerald)            ...