Posts

Showing posts from October 12, 2017

MKUU WA MKOA WA RUKWA AIONYA TARURA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen ameutahadharisha Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini kutorudia makosa yaliyokuwa yanafanywa na Halmashauri kabla ya wakala huo kuanzishwa.

BENK YA TANZANIA BOT YATOA SEMINA KWA WATU WENYE ULEMAVU NAMNA YA KUTAMBUA FEDHA HALALI

Image
WATU wenye ulemavu wakusikia(viziwi)mkoani Rukwa wameishukuru Benki kuu ya Tanzania kwa kuwapa mafunzo maalumu ambayo yamewajengea uwezo wa kutambua namna bora ya kuhifadhi fedha sambamba na kujua tofauti ya fedha halali na bandia.

TANROADs MKOANI RUKWA WASHAURIWA KUPUNGUZA MATUTA

Image
MKUU wa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameishauri wakara wa barabara nchini Tanroads mkoani Rukwa kupunguza idadi ya matuta yaliyopo barabarani kati ya Sumbawanga mjini na kijiji cha mkutano ambacho ndio mpaka wa mkoa wa Rukwa na Songwe kwani imekuwa nichanzo  cha ajali.

KUU WA MKOA WA RUKWA ATAKA VIKAO VYA DCC VIFANYIKE

Image
MKUU wa mkoa wa Rukwa Zelote Steven ameagiza kuanza kufanyika vikao vya kamati ya maendeleo ya wilaya (DCC) kwani vimekuwa havifanyiki kwa muda mrefu.

WASIOJULIKANA WAMEUA MTU KWA RISASI MKOANI KATAVI

Image
Na.Issack Gerald-Tanganyika Katavi ACP Damas Nyanda Mtu mmoja anayefahamika kwa jila la Suzani Chales (40) mkaazi wa Kata ya Katuma wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amekufa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

ULINZI SHIRIKISHI UMESAIDIA KUTOKOMEZA UHARIFU MKOANI TABORA

Image
Emeelezwa kuwa kuwepo kwa vikundi vya ulinzi shirikishi katika wilaya mbalimbali za mkoa wa Tabora kumesaidia kupunguza vitendo vya uharifu vilivyokuwa vikifanywa na baadhi ya watu wasio waadilifu mkoani humo.

MBUNGE MPANDA VIJIJINI:WILAYA YA TANGANYIKA IMETENGEWA VISIMA 21 MWAKA 2017/2018

Image
Na.Issack Gerald-Tanganyika Katavi WILAYA ya Tanganyika imetengewa visima 21 vya maji safi na salama katika mwaka wa fedha 2017 na 2018.

BANGI,NYARA ZA SERIKALI ZAWAPELEKA WATU 40 MIKONONI MWA POLISI

Image
JESHI la polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 46 wa makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa na nyara za serikali zenye dhamani ya zaidi ya shilingi million 20.

MEYA MANISPAA YA MPANDA: SINA MPANGO WA KUGOMBEA UBUNGE

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi Willium Mbogo amesema hana Mpango wa kugombea Ubunge.