SUMATRA KATAVI YATOA MIEZI 3 KWA BODABODA KUKATA LESENI-Agosti 16,2017
Mamlaka ya uthibiti na usafiri wa nchikavu na majini mkoani katavi umetoa muda wa miezi mitatu kwa waendesha pikipiki maarufu kama boda boda katika halmashauri ya wilaya ya mlele wawe wamekamilisha ukataji wa lesen za vyombo vyao vya moto pamoja na lesen za udereva.