ASKARI POLISI KATAVI APIGWA RISASI YA TUMBONI AFA PAPOHAPO ENEO LA TUKIO- P5 TANZANIA INAKULETEA UNDANI ZAIDI
Na.Issack Gerald-Mpanda Askari wa jeshi la polisi Mkoani Katavi H305PC Nobert Stanslaus Chacha amekufa baada ya kupigwa risasi maeneo ya Kapanda juu kata ya Machimboni Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda.