WATANZANIA WAPYA MAKAZI YA KATUMBA WILAYANI MPANDA WATAKAOTUMIA VIBAYA URAIA WALIOPEWA KUNYANG’ANYWA URAIA HUO.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Makazi ya Wakimbizi ya Katumba mkoani Katavi, Bwana Igwe baada ya kuwasili kambini hapo kuzunguma na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Wapili kulia ni mkewe Mary. (Picha na Issack Gerald Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald) Baadhi ya baiskeli za wananchi wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa urais huo wakati alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. K...