WANAWAKE KATAVI WASHAURIWA KUUNDA VIKUNDI ILI KUPATIWA MISAADA
Na.Meshack Ngumba-Katavi Wanawake Mkoani Katavi wameshauriwa Kujiunga na Vikundi ili kupata fursa ya Kupewa misaada itakayowasaidia Kujikwamua Kimaisha kwa kuanzisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo.