WATATU KATA YA MPANDA NDOGO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA WAKITUHUMIWA KUJIPATIA SHILINGI MIL.3,400,000/= KWA NJIA YA UDANGANYIFU
Na.Issack Gerald-Mpanda WATU wawili wakazi wa kata ya Mpanda ndogo wilayani Mpanda mkoani Katavi, jana wamefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda wakikabiliwa na shtaka la kujipatia fedha shilingi milioni tatu na laki nne kwa njia ya udanganyifu.