WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA MAAFA IRINGA YA SH. MILIONI 86/-
Na.Afisa habari Ofisi ya Waziri Mkuu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali yenye thamani ya sh. milioni 85.88/- kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko kwenye vijiji vya kata ya Mlenge, tarafa ya Pawaga, wilaya ya Iringa vijijini mkoa wa Iringa.