MKURUGENZI HALMSHAURI YA WILAYA YA KALAMBO,ASIKITISHWA NA HALI YA ELIMU MKOANI RUKWA
Na.Issack Gerald-SUMBAWANGA MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Bw. Bensoni Kilagi,amesema hajaridhishwa na matokeo ya darasa la nne na darasa la saba kwa mwaka 2015 mkoani humo.