UKOSEFU WA MAJI,VITUO VYA AFYA,BARABARA MBOVU NA WATOTO KUTEMBEA KWENDA SHULENI UMBALI MREFU VYAENDELEA KUWATESA WANANCHI VIJIJI VYA TUMAINI NA ITENKA
Vifusi vya udongo vilivyopo barabara inayotoka Kijiji cha Itenka kuelekea Kijiji cha Tumaini inayokarabatiwa(PICHA NA.Issack Gerald Kisima cha maji kilichopo Shule ya msingi Itenka kinachotegemewa pia na wananchi(PICHA NA.Issack Gerald) Maji yanayotumika kwa kunywa na shughuli nyinginekijiji cha Tumaini Wanawake kijiji cha Tumaini wakichota maji maji wakieleza kuwa ni ya kunywa(PICHA NA.Issack Gerald) Bw.Bulu Bukwaya Mwenyekiti kijiji cha Tumaini(PICHA NA.Issack Gerald) Bw.Marco Katambi mwenyekiti wa kijiji cha Itenka A(Picha na Issack Gerald) Na. Issack Gerald Bathromeo Wakazi wa vijiji vya Tumaini na Itenka A vilivyopo kata ya Itenka Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo,wameiomba serikali kuwatatulia changamoto mbalimbali zinazowakabili zikiwemo ukosefu wa maji safi na salama,ukosefu vituo vya afya pia mindombinu mibovu ya barabara iliyopo.