WANAWAKE WAISHI KWA MIGOGORO KATIKA NDOA KISA UCHAGUZI OKTOBA 25,2015
Na.Issack Gerald-Mpanda BAADHI ya wanawake Mkoani Katavi wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kuelimisha jamii kwa chaguzi zijazo ili kukomesha tabia ya ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya wanaume kwa kuwachagulia vyama vya siasa wake zao. Baadhi ya wanawake ambao wamezungumza na P5 TANZANIA (Picha na Issack Gerald)