KIFO CHA MTU KUJINYONGA KATAVI,NDUGU,MASHUHUDA WASIKITIKA
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi MTU mmoja anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 30 Innocent Milambo mkazi wa mtaa wa kigoma kata ya Makanyagio wilayani Mpanda mkoani Katavi,amekutwa amekufa kwa kujinyonga usiku wa kuamkia leo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi ACP Damasi Nyanda(PICHA NA.Issack Gerald)