Posts

Showing posts from October 11, 2017

ZAIDI KAYA 40 ZINALALA NJE MKOANI KATAVI

Image
Issack Gerald-Mpanda Katavi Zaidi ya kaya 40 katika manispaa ya Mpanda  hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kuezuliwa mapaa na upepo uliosababishwa na mvua zinazoendelea  kunyesha.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MASENETA WA MAREKANI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na Seneta James Inhofe pamoja na Maseneta wengine wa Baraza la Marekani Ikulu jijini Dar es salaam.

RC KATAVI : WAZAZI MKOANI KATAVI WANAOKATISHA MASOMO WATOTO WAO KUKIONA CHA MOTO

Image
Na.Issack Gerald-Katavi MKUU wa mkoa wa Katavi Meja jenerali mstaafu Raphael Mugoya Muhuga,amesema serikali itaendelea kuchukua hatua kali za kisheri dhidi ya wazazi wanawakatisha masomo wanafunzi kwa tamaa ya kujipatia mahali.

RAILA ODINGA AJIONDOA KATIKA UCHAGUZI WA MARUDIO KENYA

Image
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao umepangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.

DC TANGANYIKA: HATUKUJUA KAMA WANANCHI WANA SILAHA ZA KUPAMBANA NA ASKARI

Image
MKUU wa wilaya ya Tanganyika Salehe Mbwana Mhando,amesema mwananchi aliyepigwa risasi na askari na kufariki dunia akiwa katika Hospitali ya Wilaya Mpanda,alipigwa risasi wakati wa majibizano ya risasi kati ya wananchi na askari.

KAMPUNI YA MAFUTA YA GPB YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA MANISPAA YA MPANDA BURE

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Meya Manispaa ya Mpanda Philipo Mbogo KAMPUNI ya mafuta ya GPB iliyopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,imekabidhi mradi wa maji bure kwa wakazi wa Mtaa wa Majengo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi.

WANAFUNZI 258 MKOANI KATAVI WAKATIZWA MASOMO,RC KATAVI ACHARUKA KWA WANAOWAPA MIMBA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Aliyeko katikati katika picha ni RC mkoani Katavi Meja Jeneral Raphael Muhuga SERIKALI mkoani Katavi imesema itawachukulia hatua kali za kisheria watu wote watakaobainika kuwapa mimba au kushiriki mapenzi na wanafunzi.

KONGAMANO SIKU YA MTOTO KIKE DUNIANI MKOANI KATAVI

Image
MKOA WA KATAVI KUFANYA KONGAMANO LA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI LEO KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI KASHAULILI MANISPAA YA MPANDA,KILELE NI KESHO OKTOBA 11 Maadhimisho hufanyika kila mwaka Oktoba 11

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MKOANI KATAVI CHAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI WILAYANI TANGANYIKA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi CHAMA cha Mapinduzi CCM mkoani Katavi,kimefuta matokeo ya uchaguzi yaliyokuwa yamempa ushindi Bw.Yasin Mohamed Kibiriti kuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilayani Tanganyika.