Posts

Showing posts from October 25, 2016

GEREZA LA KALILANKULUKULU NA TAASISI ZAKE AMBAZO NI SHULE NA ZAHANATI HATARINI,BAADHI YA WAFUNGWA HAWANA SARE,BAADHI YA ASKARI MAGEREZA NAO WALAZIMIKA KUTUMIA PESA ZAO KUSHONA SARE KWA MIAKA 8 SASA,KUTA ZA MAJENGO YA ZAHANATI NAYO KUANGUKA MUDA WOWOTE,VYOO VYA WANAFUNZI NAVYO VYAJAA VYAZIBA BILA HATUA KUCHUKULIWA KIPINDUPINDU KUBISHA HODI.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Mashama-Tanganyika Katavi GEREZA la Kalilankulukulu lililopo Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi lililoanzishwa mwaka 1973 ,linakabiliwa na matatizo mbalimbali yakiwemo baadhi ya wafungwa wa gereza hilo kukosa sare huku pia baadhi ya asakari wa gereza hilo,wakilazimika kutumia pesa yao kushona sare zao kutokana na serikali kutowapa sare hizo tangu mwaka 2009 licha ya viongozi kadhaa wa wizara,Mkoa hadi Wilaya kuwa na taarifa ya matatizo hayo.   Mwigulu Nchemba waziri wa mambo ya ndani ya Nchi ambaye kwa kiasi kikubwa gereza zipo chini ya wizara yake kama waziri                                                                Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe Naibu waziri wa Nishati na madini(Mbunge wa Jimbo la Katavi)        ...