WATANO KATAVI WAHUKUMIWA MIAKA 5-20 KWA TUHUMA ZA NYARA ZA SERIKALI,MWINGINE AACHIWA HURU,WAKILI WAO ASEMA WATAKATA RUFAA
Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya wilaya mkoani Katavi imewahukumu watu 5 miaka 5 hadi 20 na mmoja kuachiwa huru waliokuwa wakikabiliwa na makosa matatu tofauti likiwemo la kukutwa na nyara za serikali bila kibali.