Posts

Showing posts from October 2, 2015

BAADHI YA VIFAA VYA KUPIGIA KURA VYAWASILI MANISPAA YA MPANDA

Na.Issack Gerald-MPANDA. Manisapaa yaMpanda Mkoani katavi imepokea baadhi ya vifaa ambavyo vitatumika katika upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu.

TUME YA UCHAGUZI MANISPAA YA MPANDA YAONYA WATAKAOBAINIKA KUANDIKA MAJINA YA WATU NA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA KINYUME CHA SHERIA

Na.Issack Gerald-MPANDA Tume ya taifa ya uchaguzi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imewataka watu wanaojipitisha katika mitaa mbalimbali ya Manispaa hiyo kuorodhesha majina na namba za kitambulisho cha Mpiga kura kuacha tabia hiyo kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao.

USHIRIKIANO KATI YA RAIA NA POLISI WAPUNGUZA UHARIFU WILAYA YA MLELE

Na.Issack Gerald- Mlele Mafanikio ya kupungua kwa uharifu katika kata zilizopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi kumetokana na ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na   jamii inayoishi katika kata hizo.