ASKARI WA WANYAMAPORI KATAVI WALALAMIKIWA KWA UDHALILISHAJI WA RAIA NSIMBO
Na.Masoud Mmanywa-Nsimbo WAKAZI wa kijiji cha Mtisi Kata ya Stalike wilayani Nsimbo mkoani Katavi, wamewalalamikia askari wa Wanyamapori kwa kuwapiga na kuwajeruhi kwa madai ya kuwakuta wakilima katika eneo la hifadhi ya msitu.