Posts

Showing posts from August 25, 2016

YA WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KAVUU MKOANI KATAVI ISIKUPITE HII HAPA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja la Kavuu linalojengwa na kampuni ya Nandra Engineering and Construction Ltd ya mkoani Morogoro na kumtaka mkandarasi huyo kulikamilisha haraka. Daraja la Mto Kavuu linalojengwa(Na.Issack Gerald)                                           

WAKURUGENZI WATAKIWA KUWAHAMASISHA WALIMU KUJIENDELEZA KIELIMU

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wa halmashauri na Maofisa Elimu nchini kutowaondoa katika nyadhifa zao Waratibu wa Elimu Kata na Wakuu wa shule za sekondari wasiokuwa na shahada, walimu wakuu wa shule za msingi wasiokuwa na diploma badala yake wawahamasishe kwenda kusoma.                                            

TATIZO LA MAJI SUMBAWANGA RUKWA KUWA HISTORIA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa inatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi ujao baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji uliokuwa unajengwa.                                   

WAZIRI MKUU ATOA SIKU MBILI KWA MAOFISA ARDHI KUMALIZA KERO ZA WANANCHI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Mkuu wa Idara ya Ardhi na Miundombinu wa mkoa wa Rukwa pamoja na Ofisa Ardhi wa Manispaa ya Sumbawanga kutatua matatizo ya ardhi yanayowakabili wakazi wa Manispaa hiyo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Mkoani Rukwa