WAKAZI KATAVI WAENDELEA KUCHAMBUA UTEUZI WAKURUGENZI WAPYA WAWASHAURI WAKURUGENZI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA ‘’HAPA KAZI TU’’ IPASAVYO
Wakazi Mkoani Katavi wamesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uteuzi wa wakurugenzi alioufanya Julai 7 mwaka huu ni mzuri ikiwa walioteuliwa watafanya kazi kwa kuzingatia kiapo cha maadili na utumishi wa umma wanachoapa kabla ya kuanza kazi. Rais Dkt.John Pombe Magufuli