MATUKIO YA WIKI KATAVI NA KWINGINEKO KUANZIA JANUARI 11 – 16,2016 NA P5 TANZANIA MEDIA
ASHIKILIWA NA POLISI KATAVI KWA KUKAMATWA NA MENO YA TEMBO KILOGRAM 50 YENYE THAMANI YA SHILINGI MIL.120. Posted By: Issack Gerald | At: Tuesday, January 12, 2016 Na.Issack Gerald-Katavi Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Nzuri Ndizu (44) mkazi wa kijiji cha mbede anashikiliwa na Jeshi la Polisi akiwa na meno 08 ya tembo vyenye uzito wa kg 50 ikiwa na thamani ya Tshs 120,000,000/= ambapo ni sawa na tembo 4 waliouawa kinume cha sheria.