MPANDA GIZA NENE SUAL LA UMEME,TANESCO YASEMA UMEME KUTENGAMAA MIEZI MITATU IJAYO
Mafundi wakiwa katika matengenezo ya mitambo ya Tanesco Mpanda NA.Issack Gerald-Mpanda Katavi SHUGHULI Za Uchumi Mkoani Katavi zimesimama kwa siku sita sasa Kutokana na Kukosekana kwa nishati ya Umeme.