BREAKING NEWS :WANNE MBARON MPANDA KWA UKIUKWAJI BEI ELEKEZI YA SUKARI
WAKATI Serikali ikiendelea kupambana na watu wanaoficha sukari manispaa ya Mpanda mkoani katavi imewakamata wafanyabiashara 4 ambao wanakiuka bei elekezi ya serikali ya kuuza sukari.