BABA NA MAMA WA KAMBO WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAKOSA YA MANYANYASO NA KUMNYIMA CHAKULA MTOTO WAO
Na.Issack Gerald-KATAVI Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Charles (40) Mkazi wa Kasimba anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Katavi kwa kosa la kumnyanyasa mtoto wake anayeitwa Adam Ramadhani (17) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari Kashaulili sambamba na kumnyima mambo mengine ya msingi kama chakula.