UDSM YAENDESHA KONGAMANO LA TAFAKURI YA UCHAUZI WA MWAKA 2015,MENGI YAIBULIWA.
Na.Mwandishi wetu-Dar es salaam Watanzania wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama vya siasa na badala yake wajikite kutatua matatizo ya kitaifa. Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jajji Joseph Sinde Warioba