RIPOTI KAMILI YA TUHUMA ZA MENO YA TEMBO: MCHUNGAJI KANISA LA MORAVIAN WILAYANI MLELE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKAMATWA NA MENO YA TEMBO YENYE ZAIDI YA SHILINGI MIL.90
MCHUNGAJI wa kanisa la Moravian wilaya ya mlele mkoni Katavi Gonweli Siame amefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa katavi kwa kosa la uhujumu uchumi kwa kukutwa na meno ya tembo yenye thamani zaidi ya million 90.