WAZIRI MASHA NA WENZAKE 9 WASHINDA KESI MAHAKAMA YA WILAYA YA MPANDA,KATIBU CHADEMA WILAYA YA MPANDA ASISITIZA KUANZISHA MASHTAKA DHIDI YA WALIOWASUMBUA.
NA.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Aliyecchuchumaa chini ni Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh.Lawreance Masha(PICHA NA.Issack Gerald Katavi Mahakama ya Wilaya ya Mpanda jana imewaachia huru washtakiwa 10 akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana Mwanza Mh.Lawrence Kego Masha baada ya mahakama kutowakuta na hatia katika makosa waliyokuwa wakishtakiwa.