MGOGORO WA WAFANYABIASAHARA WA MATUNDA SOKO LA MPANDA HOTEL WAMALIZIKA
Na.Issack Gerald-MPANDA Wafanyabiasahara wa matunda katika soko la Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda,wamewapongeza viongozi wa Manispaa,madiwani , maafisa masoko na Bibi afya kwa kuwaruhusu kuuza matunda yao katika eneo wanalolitaka baada ya kufanya usafi wa kuridhisha.