AFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA TUHUMA ZA UHARIBIFU WA MALI NA KUTELEKEZA FAMILIA.
Na.Issack Gerald-MPANDA Mtu mmoja mkazi wa mtaa wa Kasimba manispaa ya Mpanda jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kuharibu mali na kutelekeza familia.