CHAMA CHA MADEREVA WAFANYAKAZI TANZANIA (TADWU) KUTOA TAMKO LEO KUHUSU MADEREVA NA WAAJIRI WAO
CHAMA cha Madereva Wafanyakazi Tanzania (TADWU), kimesema madereva nchi nzima watakuwa mapumziko kwa wiki moja au zaidi kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya udereva.