MWENGE WA UHURU KUWASILI KESHO MKOANI KATAVI,WANAKATAVI WAASWA KUDUMISHA AMANI
WANANCHI mkoani Katavi wametakiwa kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki ambacho wanatarajia kupokea mwenge wa uhuru.
PURE PREPARATIONS PREVENTS POOR PERFORMANCE