RIPOTI YA PILI AJALI MTO KOGA : MIILI YA WATU WALIOKUFA MAJI MTO KOGA HADI SASA HAWAJAPATIKANA NA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA.
Na.Issack Gerald-Katavi Miili 5 ya watu waliozama katika mto Koga uliopo mpakani mwa Mkoa wa Tabora na Katavi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji tarehe Januari 26 ,2016 hawajapatikana pamoja na gari walilokuwa wakisafiria. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Ibrahim Hamis Msengi(PICHA NA Issack Gerald)