WAZAZI,WALEZI KATAVI WAASWA KUWAPELEKA VIJANA WAO KATIKA VYUO KUPATA SOKO LA AJIRA
Na.Issack Gerald-MPANDA WAZAZI na walezi mkoani katavi wameshauriwa kuwapeleka vijana wao katika vyuo mbalimbali vya mafunzo ya ufundi stadi VETA ili waweze kupata elimu itakayowasaidia kuingia katika soko la ajira ikiwa pamoja na kujiajiri wenyewe pindi wamalizapo masomo yao.