TAKUKURU YATOA TAKWIMU YA KESI NA MALALAMIKO ILIYOYAPOKEA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2016,TAMISEMI WAIBUKA KIDEDEA
Na.Issack Gerald-Katavi Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Katavi imesema kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi mwaka huu imepokea malalamiko 22 ya vitendo vya Rushwa.