MKUU WA WIALAYA YA MPANDA AAGIZA ARDHI YA HEKTA 45 ILIYOUZWA NA UONGOZI WA KIJIJI KINYUME CHA SHERIA KWA MWEKEZAJI KUREJESHWA KWA WANANCHI
KATIKA kutatua Migogoro ya aridhi nchini Serikali Wilayani Mpanda imeagiza kurejeshwa kwa wananchi Mara Moja kwa eneo la hekta 45 liliuzwa kinyume cha taratibu kwa mwekezaji Katika Kijiji cha Magamba.