WAZIRI MKUU WILAYANI SUMBAWANGA : WATUMISHI WATAKAOKULA FEDHA ZA CHF WAFUKUZWE KAZI NA NA WAFIKISHWE MAHAKAMANI
Na.Issack Gerald Bathromo-Sumbawanga Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa watumishi wote wa sekta ya afya watakaobainika kula fedha zinazochangwa na wananchi kwa ajili ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).