AGIZO LA WAZIRI KUCHUNGUZA MALALAMIKO YA WAKULIMA WA TUMBAKU KATAVI BADO NDOTO,MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA KATAVI ATOA UFAFANUZI.
Na.Issack Gerald-Katavi Agizo la naibu waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi Mh.Willium Tate Ole Nashe la kumtaka mrajisi vya vyama vya ushirika hapa nchini kuteua timu ya kuchunguza malalamiko ya wakulima wa zao la tumbaku wa Chama cha Ushirika Mpanda Kati wanaolalamika kutolipwa madai yao karibu milio 600 halijatekelezwa.