WAKAZI MANISPAA YA MPANDA WALIA NA UKOSEFU WA MAJI SAFI NA SALAMA
Na.Issack Gerald-MPANDA Wakazi wa kata ya Makanyagio katika Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wameiomba mamlaka ya maji safi na salama Manispaa ya Mpanda kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi hao.