MATUKIO YA WIKI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA FEBRUARI 8—13,2016.
MKUU WA WILAYA YA MLELE ATOA SIKU 4 KWA MAAFISA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA NSIMBO,MPIMBWE NA MLELE WAWE WAMEKABIDHI TAARIFA YA MADAWATI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI Posted By: Issack Gerald | At: Tuesday, February 09, 2016 Na. Agness Mnubi-Nsimbo MAAFISA tarafa,Watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauri za Nsimbo,Mlele na Mpimbwe wamepewa siku 4 za kutembelea shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika Halmashauri zao ili kubaini upungufu wa madawati.