SUMATRA,KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MKOANI RUKWA WATAKIWA KUTOA ELIMU ILI KUDHIBITI AJALI-Septemba 9,2017
JESHI la polisi Mkoani Rukwa limeitaka mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu Sumtra pamoja na kikosi cha usalama barabarani kujitahidi kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara.