AFISA MTENDAJI WA KIJIJI APEWA WIKI MBILI KUWAONDOA WAKAZI WALIOVAMIA MISITU NA KUFANYA MAKAZI,MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA PIA AZUNGUMZIA ZIARA YA WAZIRI MKUU KATIKA WILAYA YAKE
Na.Issack Gerald Bathromeo MKUU wa wilaya ya Tanganyika Saleh Muhando ametoa wiki mbili kwa Afisa mtendaji wa kijiji cha Mpembe kata ya Katuma kuhakikisha anawaondoa wananchi waliovamia misitu na kufanya makazi.