20,162 KATI YA 22,596 WAJIANDIKISHA DAFTARI LA MPIGA KURA MAKAZI MAPYA YA KATUMBA
Wakazi wakijiandikisha katika daftari mpiga kura NA . Agness Mnubi-Nsimbo WANANCHI 20,162 kati ya 22,596 sawa na asilimia 89 ya wakazi wapya, Wilayani Nsimbo Mkoani Katavi wamejiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.