WAZAZI WATAKIWA KUHAKIKISHA WAANDIKISHA DARASA LA KWANZA WATOTO WAO
Na.Issack Gerald-MPANDA SERIKALI Imewataka Wazazi wote Kuhakikisha Watoto waliofikia Umri wa Kuanza Shule Kuandikishwa na Kuahidi kuwachukulia hatua watakaoshindwa Kutekeleza agizo hilo.